Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia Bunge
Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Mapema leo hii amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa kwa Ujumla.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini wamehudhuria tukio hilo akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala.
Read more ...