Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia Bunge

Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Mapema leo hii amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa kwa Ujumla. 

Wakuu wa vyombo  vya ulinzi na usalama nchini wamehudhuria tukio hilo akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala.
 

News and Events

KUITWA KWENYE USAILI– 16 Februari, 2024

Idara ya Uhamiaji inawatangazia vijana waliotuma maombi ya nafasi ya Ajira kupitia Ofisi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kufika kwenye usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Auditorium - CIVE uliopo Ndaki...

« »