Passport Fees

ADA YA HUDUMA ZA PASIPOTI

SN

AINA YA PASIPOTI/HATI

ADA

 

ILIYOOMBWA NCHINI

ILIYOOMBWA NJE YA NCHI

1.

Pasipoti ya Kawaida

150,000 Tsh

90 USD

3.

Pasipoti ya Kiutumishi

150,000 Tsh

90 USD

4.

Pasipoti ya Kidiplomasi

150,000

90 USD

5.

Hati ya Dharura ya Safari

20,000 Tsh

20 USD

 

Certificate of Identity

10,000

N/A

 

Hati ya Safari kwa Wakimbizi

20,000

N/A

 

NB:

Kwa maelezo zaidi kuhusu aina za pasipoti, vigezo na namna ya kuomba tafadhali soma Mwongozo wa huduma za Pasipoti.

MAWASILIANO

Ukiwa na tatizo katika kuomba pasipoti au hati tafadhali wasiliana nasi kupitia baruapepe ifuatayo:

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. AU This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.