Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Pasipoti Mpya ya Kielektroniki ya Tanzania.
9 Septemba, 2020
Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.
12 Januari, 2022
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akikagua gadi ya Uhamiaji wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar 2022
15 Agosti, 2022
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu katika Chuo cha Uhamiaji cha Rapheal Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba mkoani Tanga. Mhe. Rais alikuwa hapo kwa ajili ya kuzindua chuo hicho pamoja na kufunga mafunzo ya awali kwa askari wa Uhamiaji.
This Pass is issued to any person from the East African Community Partner States who has secured employment or wishes to temporarily conduct business, trade, profession or assignment for a period not exceeding ninety days
To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.
Mission
To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.