• 31 januari, 2018
    31 januari, 2018

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Pasipoti Mpya ya Kielektroniki ya Tanzania.

  • 9 Septemba, 2020
    9 Septemba, 2020

    Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.

  • 12 Januari, 2022
    12 Januari, 2022

    Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akikagua gadi ya Uhamiaji wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar  2022

  • 15 Agosti, 2022
    15 Agosti, 2022

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akipanda mti wa kumbukumbu katika Chuo cha Uhamiaji cha Rapheal Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba mkoani  Tanga. Mhe. Rais alikuwa hapo kwa ajili ya kuzindua chuo hicho pamoja na kufunga mafunzo ya awali kwa askari wa Uhamiaji.

Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Mapema leo hii amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa kwa Ujumla. 

Wakuu wa vyombo  vya ulinzi na usalama nchini wamehudhuria tukio hilo akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala.

Dr. Anna P. Makakala

Commissioner General of Immigration