• 31 januari, 2018
    31 januari, 2018

    Rais Samia Suluhu akionyesha moja ya Pasipoti mpya ya kielektroniki wakati wa uzinduzi huo uliofanyika mwaka 2018.

  • 9 Septemba, 2020
    9 Septemba, 2020

    Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.

  • 09 Disemba, 2021
    09 Disemba, 2021

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvisha Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru CGI Dkt. Anna Makakala ikulu Dsm 09 Disemba 2021

  • 09 Disemba,2021
    09 Disemba,2021

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassa akikagua Gadi ya Uhamiaji wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru 09 Disemba 2021 Dsm

  • 12 Januari, 2022
    12 Januari, 2022

    Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akikagua gadi ya Uhamiaji wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar  2022

  • 15 Agosti, 2022
    15 Agosti, 2022

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akipanda mti wa kumbukumbu katika Chuo cha Uhamiaji cha Rapheal Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba mkoani  Tanga. Mhe. Rais alikuwa hapo kwa ajili ya kuzindua chuo hicho pamoja na kufunga mafunzo ya awali kwa askari wa Uhamiaji.

Please enter the email address associated with your User account. Your username will be emailed to the email address on file.

Dr. Anna P. Makakala

Commissioner General of Immigration

News and Events

TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO - FEB, 2023

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga siku...

« »