• 31 januari, 2018
  31 januari, 2018

  Rais Samia Suluhu akionyesha moja ya Pasipoti mpya ya kielektroniki wakati wa uzinduzi huo uliofanyika mwaka 2018.

 • 22 januari, 2021
  22 januari, 2021

  Waziri mkuu MHE. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa CGI Makakala, wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba.

 • 16 januari, 2021
  16 januari, 2021

  Waziri Simbachawene akizindua ujenzi wa chuo cha Uhamiaji katika eneo la Boma Kichakamiba mkoani Tanga.

 • 16 januari, 2021
  16 januari, 2021

  Waziri George Simbachawene akiambatana na Mkuu wa mkoa wa Tanga, MHE. Martin Shigela, CGI Makakala na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Masoud Sururu wakati wa kukagua ujenzi wa chuo cha Uhamiaji, Boma Kichakamiba.

 • 9 Septemba, 2020
  9 Septemba, 2020

  Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.

 • 17 Disemba, 2019
  17 Disemba, 2019

  Wahitimu wa mafunzo ya awali ya Uhamiaji wakipita kwa mwendo wa haraka wakati wa gwaride la kuhitimu mafunzo yao yaliyofanyika katika chuo cha Kijeshi Kimbiji.

 • 1 Oktoba, 2017
  1 Oktoba, 2017

  Jengo la kituo cha huduma ya pamoja baina ya Kenya na Tanzania katika mpaka wa Namanga (Namanga One Stop Border Post) mara baada ya kufunguliwa kwa kituo hicho mwezi oktoba, 2017.

 • 18 Disemba, 2020
  18 Disemba, 2020

  Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Mheshimiwa George Simbachawene akiipongeza bendi ya Uhamiaji wakati wa kilele cha siku ya wahamaji duniani.

 • 06 JULAI, 2020
  06 JULAI, 2020

  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, DKT. Anna Peter Makakala akionyesha jiwe la mpaka kati ya Tanzania na Kenya katika eneo la Jasini mkoani Tanga wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa mipaka hivi karibuni.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Kostebo kufika katika Ofisi za Uhamiaji Kurasini Dar es Salaam na Afisi Kuu ya Uhamiaji Zazibar tarehe 13 Disemba, 2021 saa 2:00 asubuhi, Pakua apa...

 

Dr. Anna P. Makakala

Commissioner General of Immigration

 

News and Events

Tangazo la Wito wa Kujiunga Uhamiaji

2021-11-12

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Kostebo kufika katika Ofisi za Uhamiaji Kurasini Dar es Salaam na Afisi Kuu...

« »