Kuhusu Huduma

Mfumo wa Kielecronic wa ETD application service, e-ETD, unasaidia wateja wote watumiao vibali hivi vya dharura kuomba kupiti amtandao tuliouanzisha. Hii huduma imewekwa kwa kusudio la kupunguza muda wa muombaji na kuongeza ufanisi katika utoaji wa vibali hivi kupitia mtandao.

Kwanini tutumie eETD Tanzania?

Ni kwasababu ya kurahisisha maombi popote utakapokuwa, unaweza omba kibali hiki kupitia mtandao, huitaji kufika na kupanga foleni kusubiri huduma. Pia malipo yake ni rahisi na uhakika kupitia mtandao. Na pia ni nzuri kwa kutunza kumbukumbu zako.
Go to top of page